Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,860
yaani hao wa redi wanakupa na ofa ya kuosha miguu na kuifanyia massage bure]mpaka rangi[/color],
mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.

Bujibuji weekend ikiwa inakaribia unakuwa unamambo sana,unaweza kudhibitisha hilo swala?

kweli?
ukijua kama demu wako anamegwa inatakiwa uwe mpole bila kufanya hivyo unaweza kuua mtu maana mapenzi bana achaaa tu,kikubwa usijue kama jamaa anakula mzigo.

kweli?
halafu wale jamaa wa mwenge hawataki kupaka rangi tu eti hadi wasugue mguu mpaka juu hata huwa sielewi ukikataa upakwi rangi sijui kuna uhusiano wa miguu na kucha?haya mambo ni mazito sana,hasa kwa mabinti wanao penda vya bure,ukipita pale mwenge siku kama ya kesho hivi dahaaaa utachoka,utakuta mtoto wa kike ameinuliwa mguu juu alafu kavaa sketi au gauni,pata picha yake,inakuaje hicho kitu mapaka rangi full kumsugua,mwisho wa kazi bint anakwambia amepungukiwa,mapaka rangi anakubali siku ya kwanza,ya pili,siku ya tatu ................................
Inategemea mkuu wengine wanakula peke yao hadi siku ya kifo ila ni wachache sana kati ya mia labda kumi ndio wastaarabu wengi wao ukiomba zigo tu shwari hadi unashangaa vipi tena hapa,kuna EPA nini?mwisho wa siku taratibu unakula zigo kama lako vile.Sure...
Kwani Buji we unataka nanihii lote we mwenyewe, utamaliza?
kuna pia fundi umeme,Mpaka rangi,
Mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.
Bebii huko kote kutegwa ukikubali tu kutegwa jamaa anamega hivi hivi mwisho wa siku unabaki kutoamini duhuuu sulphadoxine kanimega hivi hivi.halafu wale jamaa wa mwenge hawataki kupaka rangi tu eti hadi wasugue mguu mpaka juu hata huwa sielewi ukikataa upakwi rangi sijui kuna uhusiano wa miguu na kucha?
Rejao umenikumbusha kitu hapa,home kila fundi umeme akija kitu cha kwanza kuomba maji kwa housegirl,siku ya kwanza alifanya hivyo siku ya pili,siku ya tatu tena,nikabaki kuguna mtu mzima kumbe jamaaa kasha rekebisha muda mrefu,haya mambo bana magumu sana.kuna pia fundi umeme,
muuza bucha,
House boy!!
halafu wasambaa wote kwani tanga kuna chuo cha kuosha na kupaka wanawake rangi?bebii huko kote kutegwa ukikubali tu kutegwa jamaa anamega hivi hivi mwisho wa siku unabaki kutoamini duhuuu sulphadoxine kanimega hivi hivi.
muuza bucha analipa bwana daily maini dahkuna pia fundi umeme,
muuza bucha,
house boy!!