Watu hawa ni hatari kwa mkeo/ mchumba/ girl friend

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,270
Mpaka rangi,
Mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.
 
]mpaka rangi[/color],
mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.
yaani hao wa redi wanakupa na ofa ya kuosha miguu na kuifanyia massage bure
 
Bujibuji weekend ikiwa inakaribia unakuwa unamambo sana,unaweza kudhibitisha hilo swala?
 
aaaaaaaaah jamani ina maana hao wake/girlfriends zenu ndo mmewashusha hivi? kwamba hawana uaminifu kiasi hiki mmmmmh
 
Haya mambo ni mazito sana,hasa kwa mabinti wanao penda vya bure,ukipita pale mwenge siku kama ya kesho hivi dahaaaa utachoka,utakuta mtoto wa kike ameinuliwa mguu juu alafu kavaa sketi au gauni,pata picha yake,inakuaje hicho kitu mapaka rangi full kumsugua,mwisho wa kazi bint anakwambia amepungukiwa,mapaka rangi anakubali siku ya kwanza,ya pili,siku ya tatu ................................
 
haya mambo ni mazito sana,hasa kwa mabinti wanao penda vya bure,ukipita pale mwenge siku kama ya kesho hivi dahaaaa utachoka,utakuta mtoto wa kike ameinuliwa mguu juu alafu kavaa sketi au gauni,pata picha yake,inakuaje hicho kitu mapaka rangi full kumsugua,mwisho wa kazi bint anakwambia amepungukiwa,mapaka rangi anakubali siku ya kwanza,ya pili,siku ya tatu ................................
halafu wale jamaa wa mwenge hawataki kupaka rangi tu eti hadi wasugue mguu mpaka juu hata huwa sielewi ukikataa upakwi rangi sijui kuna uhusiano wa miguu na kucha?
 
Sure...
Kwani Buji we unataka nanihii lote we mwenyewe, utamaliza?
Inategemea mkuu wengine wanakula peke yao hadi siku ya kifo ila ni wachache sana kati ya mia labda kumi ndio wastaarabu wengi wao ukiomba zigo tu shwari hadi unashangaa vipi tena hapa,kuna EPA nini?mwisho wa siku taratibu unakula zigo kama lako vile.
 
Mpaka rangi,
Mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.
kuna pia fundi umeme,
muuza bucha,
House boy!!
 
halafu wale jamaa wa mwenge hawataki kupaka rangi tu eti hadi wasugue mguu mpaka juu hata huwa sielewi ukikataa upakwi rangi sijui kuna uhusiano wa miguu na kucha?
Bebii huko kote kutegwa ukikubali tu kutegwa jamaa anamega hivi hivi mwisho wa siku unabaki kutoamini duhuuu sulphadoxine kanimega hivi hivi.
 
kuna pia fundi umeme,
muuza bucha,
House boy!!
Rejao umenikumbusha kitu hapa,home kila fundi umeme akija kitu cha kwanza kuomba maji kwa housegirl,siku ya kwanza alifanya hivyo siku ya pili,siku ya tatu tena,nikabaki kuguna mtu mzima kumbe jamaaa kasha rekebisha muda mrefu,haya mambo bana magumu sana.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom