technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Lizaboni ulikua wapi? Siku nyingi sijakusoma mkuu.Naona hapo CCM zipo nyingi maana yake ni kwamba watu wana imani na CCM ila wapo upinzani kwa maslahi binafsi
Kwahiyo kuwa na kadi nyingi za ccm ndio uongozi?Naona hapo CCM zipo nyingi maana yake ni kwamba watu wana imani na CCM ila wapo upinzani kwa maslahi binafsi
Kwanini mkuu kwanini nitukanwe kwa lipi?Subiri Matusi Toka Bavicha
ndo baraza la vichaa tz hahahahaSubiri Matusi Toka Bavicha
Sasa kama mnayajua hayo na hao ni agent wenu, mbona wanakuteshine na nguvu nyingi kuwazuia?Naona hapo CCM zipo nyingi maana yake ni kwamba watu wana imani na CCM ila wapo upinzani kwa maslahi binafsi
bila shaka hizo takwimu zinaweza kukupa jibu kwanini CCM itatawala mileleIfuatayo ni wanaomiliki kadi mbili ya vyama tofauti .
1: Lowassa kadi ya Ccm na Chadema
2: Sumaye ya kadi Ccm na Chadema
3: Zitto kadi ya Chadema na ACT
4: Lyatonga kadi ya Ccm na Nccr
5: Kafulila kadi ya Nccr na Chadema
6: Lipumba kadi ya CUF na Ccm
7: Lwakatale kadi ya CUF na chadema
8: Mpendazoe kadi ya Chadema na Ccm
9: Cheyo kadi ya UDP na Ccm.
Na wengine wengi swali linakuja.
Kwanini uwa hawarudishi kadi wanapohama vyama?
Kwanini wanabaki na kadi zao wakati wameshakimbia vyama ?.
Hizo kadi ni special kwa dili tu unajua CCM na dili ni sawa na mgonjwa na uji.bila shaka hizo takwimu zinaweza kukupa jibu kwanini CCM itatawala milele