Watu hawa maarufu kumiliki kadi mbili za vyama maana yake nini?

Naona hapo CCM zipo nyingi maana yake ni kwamba watu wana imani na CCM ila wapo upinzani kwa maslahi binafsi
Hakika. Lakini pia kuweka kumbukumbu sahihi, Kati ya hao ni Zitto Kabwe na Kafulila tu ndo hawana kadi za CCM.
 
Ukihama chama kadi ya awali kwa kuwa uliilipia ni yako hivyo unaweza kuichana ,kuichoma moto ama kuihifadhi ingawa hauitumii hivyo hao uliowataja na wengineo wenye kadi zaidi ya moja hakuna sheria yoyote inayowabana kwan kila mtanzania ana haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa au asijiunge. Pia hata wakirudisha hizo kadi ww utajua vipi wamerudisha? Kwan ww ndio una mpokea taarifa ya waliochukua kadi mpya na waliorudisha za vyama walivyohama
Uwe umetafuna, umechoma, umechambia n.k. kwa sababu haukuirudisha ulikoichukua au kuikabidhi kwa chama kipya, unahesabika kiendelea kuimiliki
 
Kadi ni mali ya mru maana hununuliwa. Si lazima kuirudisha. Saa nyingine unaamua kuitunza kama kumbukumbu
 
Tukio la kuchukua kadi mpya tuone lakini la kurudisha ya zamani no?....

Kwanini tusione matukio yote ili tuamini kuwa sio mamluki?

Uoni ingependeza zaidi kama tungeona matukio yote mawili?......

Ukihama chama kadi ya awali kwa kuwa uliilipia ni yako hivyo unaweza kuichana ,kuichoma moto ama kuihifadhi ingawa hauitumii hivyo hao uliowataja na wengineo wenye kadi zaidi ya moja hakuna sheria yoyote inayowabana kwan kila mtanzania ana haki ya kujiunga na chama chochote cha siasa au asijiunge. Pia hata wakirudisha hizo kadi ww utajua vipi wamerudisha? Kwan ww ndio una mpokea taarifa ya waliochukua kadi mpya na waliorudisha za vyama walivyohama
 
Ifuatayo ni wanaomiliki kadi mbili ya vyama tofauti .

1: Lowassa kadi ya Ccm na Chadema
2: Sumaye ya kadi Ccm na Chadema
3: Zitto kadi ya Chadema na ACT
4: Lyatonga kadi ya Ccm na Nccr
5: Kafulila kadi ya Nccr na Chadema
6: Lipumba kadi ya CUF na Ccm
7: Lwakatale kadi ya CUF na chadema
8: Mpendazoe kadi ya Chadema na Ccm
9: Cheyo kadi ya UDP na Ccm.

Na wengine wengi swali linakuja.

Kwanini uwa hawarudishi kadi wanapoondoka chama kimoja kwenda kingine?.

Kwanini wanabaki na kadi zao wakati wameshakimbia vyama ?.
Wewe mbona una kadi ya peopni na jehanam!
Chagua moja!
 
Ifuatayo ni wanaomiliki kadi mbili ya vyama tofauti .

1: Lowassa kadi ya Ccm na Chadema
2: Sumaye ya kadi Ccm na Chadema
3: Zitto kadi ya Chadema na ACT
4: Lyatonga kadi ya Ccm na Nccr
5: Kafulila kadi ya Nccr na Chadema
6: Lipumba kadi ya CUF na Ccm
7: Lwakatale kadi ya CUF na chadema
8: Mpendazoe kadi ya Chadema na Ccm
9: Cheyo kadi ya UDP na Ccm.

Na wengine wengi swali linakuja.

Kwanini uwa hawarudishi kadi wanapoondoka chama kimoja kwenda kingine?.

Kwanini wanabaki na kadi zao wakati wameshakimbia vyama ?.
ifike mahali muwe mnajadili ajenda zenye tija kwa taifa mtakua lini nyie viumbe duni na dhalili?
 
Naona hapo CCM zipo nyingi maana yake ni kwamba watu wana imani na CCM ila wapo upinzani kwa maslahi binafsi

Lizaboni;
Sithani ka huo ndo ukweli wa mambo. Kuwa nazo haswa ya ccm ni kwa wale ambao walipitia kile kipindi cha kuwa na kadi ili ununue kibiriti duka la kijiji na sukari duka la ushirika tu. Tulipoongoka tukazitupilia mbali kwenye madroo tu.
Muulize katibu mkuu, zinalipiwa?? Chama chako kiweke mkazo kuwa bila ada miezo 3 umejiondoa uanachama tuone ka mtathubutu kuwafuta.
 
Back
Top Bottom