Watu, chungeni pochi zenu

Hukumuzuku

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
6,676
5,026
Kila mtu kila mahali dunia ya leo anajaribu kukuuzia kitu ilhali pesa ni kiduchu, na kuipata ni taabu kubwa.

Ukiwa na tamaa na materialistic siku zote utaishia kuwa lofa, hata kama ni hodari namna gani wa kutengeneza pesa.

Huo ndiyo ukweli mtupu.
 
Tujuze Da Dude,yapi yamekukuta?,..by the way watu humu ndani wameanza kukashifu dini za wenzao,,...uliziona post zao?
 
Back
Top Bottom