Watu 80 wafariki katika ajali ya barabarani CAR

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,400
Ajali ya lorry moja la mizigo huko Jamhuri ya Afrika ya kati CAR imesababisha vifo vya zaidi ya watu 80, wengi wakiwa wachuuzi waliokuwa wakielekea sokoni mjini Bambari.

Walioshuhudia tukio hilo wamesema lorry hilo lilikuwa limebeba watu wengi na kujazwa mizigo kupindukia huku likiendeshwa kwa mwendo wa kasi wakati lilipopinduka.

Maafisa wa trifiki wamelaumiwa kwa kutochukua hatua kuzuia ukiukwaji huo wa sheria za barabarani.

Chanzo: BBC
 
Wakongo hawana tofaut sana na wairaq au palestina
Sasa Lori,watu wengi,mwendo mkali sana, si mazoez ya kujitoa muhanga ayo
 
Back
Top Bottom