Tetesi: Watu 700 wameuliwa so far?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,348
Reaction score
15,067
***** police wote na vituo ambavyo watu wamekufa wanahusika, wasijidanganye hawatajulikana na wote sheria itawafikia either ya mtaani au Tanzania mpya inayokuja , watashughulikiwa tuu na wakumbuke kusema nilikuwa nafuata amri haitawaponya
 
Wamekufa watu wengi sana. Wengine wameuawa na kikundi cha askari wa Uganda ambao hawajui hata kiswahili. Wameua mpaka watu waliokuwa majumbani
 
***** police wote na vituo ambavyo watu wamekufa wanahusika, wasijidanganye hawatajulikana na wote sheria itawafikia either ya mtaani au Tanzania mpya inayokuja , watashughulikiwa tuu na wakumbuke kusema nilikuwa nafuata amri haitawaponya
Muhusika namba moja ni Samia na genge lake. Unawauwa wananchi wako kisa madaraka? Tena unatumia jeshi la kukodi?

Najua katiba hairuhusu lakini Samia inabidi anyongwe. 😡😡
 
Tuanzishe uzi tupate majina ya kwenda the Hague tafadhali
 
Haya majitu ni mashetani! Vifo vyote hivi bado jitu halitaki kuachia madaraka! Watu hawakutaki, nchi sio mali yako binafsi, achia madaraka!
Die, rot in hell!
 
Tuanzishe uzi tupate majina ya kwenda the Hague tafadhali
Hawa tunawaweza wenyewe, ushahidi upo na wahusika wanajulikana, kila mtu aone ili wajao wajue kuna bad consequence ya mambo ya kipumbavu kama aliyofanya Samia na genge lake
 

Halafu bado wako kimya. Wapi akina Muliro....!!?
 
JAMANI HEBU TUCHEKECHENI AKILI, WATU 700 NI WENGI AANA TENA SANA, TUMEKUQA GAZA?
INGEKUWA WATU 700 KWELI, BASI MAANDAMANO YANGEAHAKWISHA SIKU NYINGI SANA.
HESABU AMABYO AKILI INAWEZA KUFIKIRISHA NI WATU WASOZIDI 20, KWA SABABU JESHI LIPO NA WANANCHI.
JESHI LINGEKUWA UPANDE WA POLİSİ HAPO TUNGESEMA KWELI NA MAITI PIA ZINGEZAGAA SANA.
HABARI ZIKICHANGANYIKA ZA KWELI NA UONGO NDIO MAMBO YANAPOVURUGIKA.
KILICHOBAKI TUOMBE HALI IRUDI KAMA KAWAIDA MATAKWA YA WANANCHI YAZINGATIWE.
KUHARIBIBU MIUNDO MBINU NI TUNAJIKOMOA WENYEWE. NA MAISHA TUNAYAFANYA MAGUMU ZAIDI .
KAMA MOTO KUTIWA LAZIMA NI KWENYE VITUO VYA IUHESABIA KURA TUU MAANA NDIO MPANGO WOTE, KWENGINE AAA HAPANA
 
Nipo kwenye group fulani zinatumwa video za wahanga zakuogopesha....kuna mmoja kapigwa risasi kavoboka sura


Watu wana. Videoo nying sema walipozima mtandao wamebinya sna taarifa
 
"Hali irudi kuwa kawaida"? Hata sijui una maana gani hapa. Kamwe hali haiwezi kurudi kawaida wakati Samia na Genge lake wakiendelea kuwa madarakani.

Watu 700 kuuliwa kama ni nchi nzima utaziona maiti zote zimerundikana mahali pamoja?

Ninacho kubaliana na wewe ni kuwa hakuna anayejuwa idadi sahihi ya waTanzania waliouliwa hadi sasa, lakini hata wangekuwa ni 10 tu, bado haihalalishi msimamo uliochukuliwa na viongozi waovu hawa.
Kila kifo kitakachothibitika lawama zote zinawahusu hawa mashetani
 
wamenukuu taarifa ya chadema pengine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…