Watu 51 wafukuzwa machinga complex na masaburi,

Watu 51 wafukuzwa machinga complex na masaburi,

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,880
Watu 51 wamefukuzwa na vibanda vya o kwa oda ya masaburi dk didas..habari zaidi zinasema watu wamekutwa
zaidi ya 51 wakiulizwa wamewekwa na nani wandai wao watu wa bodi...akihojiwa na waandishi wa habari
mh masaburi anasema amefika baada ya kusikia kuna walemavu wanatakiwa kupewa sehemu zile lakini kutokana na
fedha na hongo kuna watu wamewekwa pale na wengine ndugu na jamaa za wajumbe wa bodi na hivyo kila aliewekwa
pale kwa bodi nimewaaagiza sitaki kusikia hata mmoja mpaka saa 12 ya leo jioni

kazi ipo kweli wazee wa magamba haya mzee masaburi wapi sasa unaelekea???
 
d unahisi sasa zamu yetu kupata vyumba embu ulizia kupata mkataba sh ngapi??
 
Back
Top Bottom