Hivi kweli tumedhamria kuondoa umaskini hapa Tanzania?
hivi inaingia akilini eti wananchi hawana chakula alafu Rais wa nchi yao anaenda kusalimia rafiki zake?
huyu pinda na makau wa rais wanabaki hapa pia hawajui waziri wake anaishi wapi, je watajua kuna wananchi wanakufa njaa??
watanzania tuwe siriazi tunapo fanya chaguzi zetu za mitaa mpaka taifa kwani haya ndio matikeo yake.