Kamanda Mpinga apeleke tochi wiki hii hii. Lakini wakati mwingine wananchi hao wanakuwa sehemu ya matatizo. Ukithubutu kumkemea dereva kwa mwendo kasi usiofaa, abiria watakugeuka na kukushurutisha ushuke katika basi. Matokeo yake basi likishapinduka na kuua, ndipo utasikia, ooh dereva alikuwa akiendesha kasi! Tanzanians, wake up!! Poleni sana ndugu zetu mliofikwa na dhahama hii.