duh?!!..Wapumzike kwa amani.ccm wajifunze hapa duniani tunapita tu
Pole sana wahanga!!
Barabara yote kuanzia sirari hadi mwanza hakuna tochi ya polisi. Magari, hasa mabasi yanaendeshwa kwa fujo sana. Kamanda mpinga aweke tochi pengine madereva wataogopa.
Poleni jamani wote