Watu 14 wafukiwa na kifusi katika mgodi wa Rz huko Geita

Kazwala mkuu

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,034
2,249
1b434bbbe3e0099b6d0f9561d796f47d.jpg

Habari zaidi zitawajia.

=====
Takribani wachimbaji 14 akiwemo raia mmoja wa China wamefukiwa na kifusi cha udongo katika mgodi wa dhahabu wa RZ Nyarugusu uliopo mkoani Geita.

e3a94dc791a85d999bcb32757f089788.jpg

Hatua za Uokoaji Zikiendelea.
=====

Tazama mjadala kuhusu habari hii ukisomwa JamiiLeo
 
Duuuh. Pole yao aisee. Ngoja tuone juhud za uokoaji.

Ila kwa hali ninavyoijua huko nyarugusu, tusubiri tu kutumwa salamu za rambi rambi
 
Duuuh. Pole yao aisee. Ngoja tuone juhud za uokoaji.

Ila kwa hali ninavyoijua huko nyarugusu, tusubiri tu kutumwa salamu za rambi rambi
Si bure. Jana Mchina kampiga kibarua wa mgodini na kumjeruhi vibaya. Leo mgodi umetitia. Je, ni hujuma ya kulipiza kisasi au la?
 
e3a94dc791a85d999bcb32757f089788.jpg

Hapa ni Maeneo ya nyarugusu geita shughuguri Za uokoaji zikiendelea ni zaidi ya WATU 17 wamefukiwa Pamoja na Mchina mmoja

Kwa hiyo, mchina siyo mtu?

Nilitegemea useme watu 17 wamefukiwa na vifusi kati yao ni watanzania 16 na mchina mmoja, pamoja na vifaa vyao vy akazi labda, kama neno pamoja ni lalazima.
 
Kwa hiyo, mchina siyo mtu?

Nilitegemea useme watu 17 wamefukiwa na vifusi kati yao ni watanzania 16 na mchina mmoja, pamoja na vifaa vyao vy akazi labda, kama neno pamoja ni lalazima.
Kuna ushahidi wowote kwamba waliofukiwa ukiondoa huyo mchina ni watanzania?
 
Back
Top Bottom