Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 155
Wanajamii, habari!! Naombeni msaada. Kuna jamaa yangu ameniletea simu yake yenye android, samsung galaxy 2, na kuniomba nimuelekeze namna ya kujiunga na kutumia watsup (sina uhakika kama ndo inavyoandikwa). Bahati mbaya, mi natumia simu ya symbian (sina uhakika kama ndo inavyoandikwa). Je, nifanyaje ili kumuunganisha na watsup? Pia vitu gani muhimu ambavyo inabidi viwepo ktk simu ya kijana wa kisasa? Mfano, dictionary etc. Regards