Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,242
- 44,327
Najua Whatsup inakufanya utume text messages bure kama una internet wakati wowote, ziwe MB 200 za bure au za kununua. Sasa hapo cha zaidi inachofanya whatsup sijui ni nini ulichokieleza.... net ya bure ya airtel mpaka kesho mchana utaendelea kutumia bure hadi mb 200 ziishe
Najua Whatsup inakufanya utume text messages bure kama una internet wakati wowote, ziwe MB 200 za bure au za kununua. Sasa hapo cha zaidi inachofanya whatsup sijui ni nini ulichokieleza.
Sio wote tunaoijua hiyo sw, ungetuwekea tu link ili tuweze kudownload, plz!
http://www.whatsapp.com/nokia/WhatsApp.sis kaka click hapo juu latest version kwa nokia,
http://www.whatsapp.com/nokia/WhatsApp.sis kaka click hapo juu latest version kwa nokia said:Hii aplication kwenye Nokia 2730 itaingia
Ina Maani Kwa Nokia Tu?
anhaaa... nimekupata sasa, ila kitu kimoja tu, unamaanisha utaendelea kutumia mpaka 200MB zako ziishe, sio utaendelea kutumia bure. Kama unapimiwa megabytes basi tusiseme "bure," tunayapa makampuni ya simu free advertisement wakati wao wanatu screw kwa kwenda mbele.... lakini kama una watsap airtel watashindwa kuku disconect so utaendelea tumia bure sjui kama umenipata
vp express music
jaman mbona kwenye nokia c1-o1 inaandika not found
Mkuu...get a life!aaaaaahhhhh.......
inaanza saa ngap, leo nahamia na kitanda nalala humo humo!!""
yap ni nokia blackberry na iphone