Watoto wetu wanaharibika kwa ushoga

Watoto wetu wanaharibika kwa ushoga

Mtoto wako akifikisha miaka miwili ukianza kumfundisha kutumia potty uwe unamueleza umuhimu wa kutunza sehemu zake za siri. Mumbie atakae jaribu kuzigusa akueleze.

Usipende kuwaacha watoto bila ya uangalizi wako mwenyewe au dada wa kazi kama uko kazini.

Wanaume mkiamua kuzaa punguzenu muda wa kukaa baa na kunywa bia/K-vant. Tumieni muda mwingi na watoto wenu.
Naunga mkono asante
 
Nafikiri ni jukumu la mzazi kumfundisha elimu hii kwa upana mtoto (kwa uzuri) ili ajue mabaya yake kuliko akafundishwe nje (kwa ubaya) na walimwengu
Mtoto anajaribu kila kitu na bila kumfafanulia hiki ni kizuri na hiki ni kibaya atafundishwa vibaya na wengine.
Tuwajenge watoto wetu katika misingi mizuri
Hizi tabia za mtu mzima kumuita mwanao "mchumba wangu au mme wangu angali mtoto mdogo ni jambo la kukemewa tena mbele ya huyo anaesema hata awe nani

Kumpakata mwanao sio vizuri kwani kesho atapakatwa na mwingine kwa nia ovu charity begins at home kwa hiyo usimzoeshe
Akienda nje kucheza lazima ujue anacheza na kina nani na ni michezo gani
Lingine kama mwanao umezoea kumpeleka kwa ndugu na akasema hataki kwenda huko lazima ujue kuna tatizo hapo kwa jamaa yako.
Usimlazimishe bali uliza kwa utaratibu kwanini na kama utalifumbia macho unamuumiza mwanao
Yapo mengi sana ya kumkuza mtoto katika maadili na kujifunza
 
Mtoto wako akifikisha miaka miwili ukianza kumfundisha kutumia potty uwe unamueleza umuhimu wa kutunza sehemu zake za siri. Mumbie atakae jaribu kuzigusa akueleze.

Usipende kuwaacha watoto bila ya uangalizi wako mwenyewe au dada wa kazi kama uko kazini.

Wanaume mkiamua kuzaa punguzenu muda wa kukaa baa na kunywa bia/K-vant. Tumieni muda mwingi na watoto wenu.
You nailed it...
 
Nimekuelewa sana hapa Sis. 👏👏
 
Waku habari za usiku Niko naugulia Dengue hivyo leo sijatoka hapa ninapo kaa kuna mpangaji anamtoto weke wa kiume umri miaka 5 au 6 chekechea pia na mtoto wa nyumba ya jirani umri miaka 8 kavulana pia sasa wamekutwa kwenye pagala huyu wa miaka na 8 amemvua huyu wa miaka 5 nguo alafu anamchomeka vidole matakoni na kenyewe kanajishika makende isee tumeshangaa sana japo wamechapwa ila ndio hivyo tena kwa kweli wazazi tujjitahidi kuwa angalia watoto wetu wanacheza na nani na wapi

Smart phones zimeharibu sana watu Tanzania. Kila kukicha watu wanatupiana video za ngono tu ndiyo maana sipendi kupanda daladala siku hizi kwani kuna siku nilimshuhudia kajamaa ka shule kanajichua huku kajisahau kabisa na udenda unamtoka. Siti yote ya mbele yake ilikuwa imelowana shahawa huku jamaa akitokwa na jasho na kuwaza ampige nani punyeto akifika home.
 
Inasikitisha sana hii kitu japo huwa siku zote lawama zinapaswa kupelekwa kwa wazazi ama walezi kwani wengi tunajisahau katika malezi.
 
Kuna stage tano za ukuaji wa mtoto,leo nakumbuka 3 tu

1.oral stage,mtoto anakuwa na hamu ya kuweka mdomoni kitu chochote eg,kunyonya vidole,1-2 yrs

2.anal stage,mtoto anakuwa attention na viungo vyake vya siri,hapa ndo ushoga huanza ,2-5yrs

3,phalic stage ،n.k
 
Mtoto wako akifikisha miaka miwili ukianza kumfundisha kutumia potty uwe unamueleza umuhimu wa kutunza sehemu zake za siri. Mumbie atakae jaribu kuzigusa akueleze.

Usipende kuwaacha watoto bila ya uangalizi wako mwenyewe au dada wa kazi kama uko kazini.

Wanaume mkiamua kuzaa punguzenu muda wa kukaa baa na kunywa bia/K-vant. Tumieni muda mwingi na watoto wenu.
Dr,siyo kuchezewa tu ,hata yeye asizichezee hizo sehem
 
Kuna stage tano za ukuaji wa mtoto,leo nakumbuka 3 tu

1.oral stage,mtoto anakuwa na hamu ya kuweka mdomoni kitu chochote eg,kunyonya vidole,1-2 yrs

2.anal stage,mtoto anakuwa attention na viungo vyake vya siri,hapa ndo ushoga huanza ,2-5yrs

3,phalic stage ،n.k
Kweli ndugu maana hata mimi nakumbk kuna michz tulikua tukichezo zmn unaona mwnzio anakupekenyulia lim...k#nd# duuu asee hapa nimekubali
 
Nafikilia wa kwangu anamiaka miwili kasolo na anacheza nao sasa nadhani nimpeleke kwa bibi yake mkoani
Acha kukwepa majukumu kumpa mama mzigo. Wewe ulilelewa na nani? Nachukia sana watu wanaopeleka watoto kwa bibi zao bila sababu ya msingi
 
hutu tutoto ni tudadisi sana tukiona tundu tunataka kujua ni la kazi gani matokeo ke ndio haya
Matundu yapo mengi katka mwili wa mwanadamu.

Pua ni matundu, mudomo ni tundu, masikio nayo yanamatundu pia.

Kama walikuwa wanafanya udadisi n kwanini wasiingiziane vidole mapuan au masikoni?.

Ni kwanini wajifiche?.

Kitendo cha hao watoto kutafuta sehemu "faragha" ya akufanyia mambo yao ni ushahidi tosha kuwa wanachokifanya wanakijua.

Na walijua kuwa endapo watakamatwa wataazibiwa, ndiyo maana wakaenda mafichoni.

Hapo hakuna udadisi

Hili jambo ni zito.

Jamii tusimame kukemea haya mambo.

Hata bahari ilianza kwa tone moja la maji.
 
Jamii tusimame, kukemea haya mambo.

sawa
 
Back
Top Bottom