Watoto wetu jinsi wanavyo lilia Elimu

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
558725_411809608846555_2140387620_n.jpg


399053_414852485208934_1130793612_n.jpg
 
hapa wanalia nini? lazima iwe moja kati hapa ukimwi ama unyanyasaji wa watoto,
 
kuna wengine wasanii kweli hapo, midomo inalia macho yanacheka na vise versa.............
 
Hawa hata hawalilii elimu, kuna mtu mwenye NGO aliwaita ili walie mbele ya wahisani wa Kimarekani ili yeye aweze kuvuta dola za ukweli.Pole sana kwa watoto wetu kutumika bila kujijua
 
Back
Top Bottom