Watoto wapo hospitali,mtoto wa kwanza kamwona mwenzie analia ikawa kama hivi:-
MTOTO WA KWANZA:Unalia nini?
MTOTO WAPILI:Nimekuja kupima damu
MTOTO WA KWANZA:Ndio sababu unalia?
MTOTO WA PILI:Wamenikata kidole changu
Mtoto wa kwanza nayeye Kaangua kilio balaa
MTOTO WA PILI:Unalia nini?
MTOTO WA KWANZA:Nimekuja kupima mkojo