Watoto watimua mbio baada ya kuhisi wanataka kuchanjwa

Elimu itolewe Sana watu waelimishwe limetokea shule nyingi hili.
Wanasiasa wanamchango juu ya hili
 
Hutaki kuhurumiwa kwa maana ya
Mkuu, chanjo ni hiari, sasa hiari hii, kuna watu wanaowaita wajinga na wanajitafutia kifo kwa wasiohiari ya kuchanjwa, unajiuliza, kwani ikitokea smekufa ambaye hajachanjwa, itampunguzia nini aliyechanjwa, au na yeye atakuwa amekufa nusu ya mwili wake kwa sababu kuna mtu kafa kwa kutochanjwa?
 
Watu wamekuwa na huruma sana hasa baada yabkugundulika mama na akina cdf walichanja juice ya Johnson na sio chanjo kama tulivyotangaziwa
 
Chanjo gani ya ******* ya kumwambia mtu msalaba wake ataubeba mwenyewe litakapotokea la kutokea? Ni kilaza tu anayeweza kukubali huu upuuzi. Yaani uniseduce nikubali takwa lako alafu nikipata ujauzito hautaki nikushirikishe kumediate repercusion ..hii ndo dunia aliyoiona lucky dube akaiita crazy world
 
Hawa wana akili kuliko waliochanjwa
Hawa ni malaika Mungu kaamua kuwalinda.

Niliona shule moja juzi watoto walitimua mbio baada ya kuingia gari waliyodanganyana Ina chanjo,darasa la watoto 200 Mwalimu alibaki na 50 na wengine hawakurudi kabisa.
 
Mi kila nikizoom naona wanaotoa hoja za kwamba chanjo si salama, hoja zao zina mashiko...

na wanaotoa hoja za kwamba chanjo ni muhimu, salama na inatupaswa tuchanje, nao hoja zao zina mashiko....

Kwa sasa nipo kwa ufatiliaji wangu binafsi wa kuona which is which then ntafanya maamuzi
 
Hawa ni malaika Mungu kaamua kuwalinda.

Niliona shule moja juzi watoto walitimua mbio baada ya kuingia gari waliyodanganyana Ina chanjo,darasa la watoto 200 Mwalimu alibaki na 50 na wengine hawakurudi kabisa.

Safi sana
 
Sio Ajabu..., Tangu lini mtoto akapenda Kuchomwa Sindano, Hata ingekuwa ni chanjo ya utajiri wangekimbia
 
Mkuu, chanjo ni hiari, sasa hiari hii, kuna watu wanaowaita wajinga na wanajitafutia kifo kwa wasiohiari ya kuchanjwa, unajiuliza, kwani ikitokea smekufa ambaye hajachanjwa, itampunguzia nini aliyechanjwa, au na yeye atakuwa amekufa nusu ya mwili wake kwa sababu kuna mtu kafa kwa kutochanjwa?
😂😂😂😂😂😂 Hii ndiyo Bongo ya Samia.
 
Back
Top Bottom