NDOA YA WATOTO WADOGO KABISA ILIVYOFANA HUKO MJINI DODOMA...INASIKITISHA SANA..!!
[h=2] [/h]
Vitendo vya ukatili wa kijinsia bado vipo katika jamii yetu, nikiwa huko mkoani Dodoma nilipata kushuhudia ndoa ya watoto wadogo kabisa, kiukweli nilikuwa nashangaa na bado nashangaa mpaka sasa hata siamini, haya nilikuwa nikiyasikia tu ama kuyasoma ila nimepata kuyaona kwa macho yangu..
mdau tutazame then tuje kuchangia mawazo mana inabidi ifike muda vitendo hivi vya ukatili wa kijinsia iwe vimefika mwisho..
Well, sio kitu cha kusupport lakini is less evil kuliko angebebeshwa mimba huyo mdada na mhusika akasepa. Ikumbukwe kuwa wote sio kwamba wako shule na already wanamahusiano.
Cc MziziMkavu
sio binti anatakiwa kuwa shule!!! huyo mvulana anatakiwa kuwa wapi kwani??!!! acheni ubaguzi hapa wanawake mna tabia ya kujifikiria wenyewe sana na ndio maana mtaendelea kunyanyasika mbele ya wanaume huku mkitegemea huruma toka kwa wanaume!!!!! mimi huwa siwaelewi wanawake pale ambapo unakuta wako kwenye uhusiano na wanaume kwa muda mrefu then ikitokea kutoelewana na kuachana tena wakati mwingine mwanamke ndio sababu utakuta wanalalamika eti wanaume wamewatumia kisha wamewaacha halafu wamewapotezea muda!!! kwani wanaume wao tu ndio wenye muda wa kupotezewa na sio wanawake??!!! au wanaume wao walikuwa wanatumia vijiti na sio kiungo cha mwili kujamiiana na hao wanawake wanaotumia kiungo cha mwili pia??!!! acheni ubinafsi ninyi kina mama!!!!!!