Think Hard
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 318
- 307
Huyo wa kwanza nini nani vile?me au ke?Wanyime wakawe makahaba na hao wa kiume wakawe vibaka.....
Nakasirishwa sana na hawa watoto, wa kwanza yupo form five, wa pili form two na watatu standard seven english medium. Yaani najitahidi sana kuwalipia ada na kweli naweza na nafrahi sababu ni vipanga kila nikangalia matokeo nafurahi sana.
Huyu wa form 5 ni dada ndie anaeongoza chati yani kila siku sababu zisizoisha wa pili ni dume yeye hanaga mambo mengi anataka pesa za kucheza games na mziki mkali akirudi, haka kadogo kakiume kanapenda hela za kula chipsi na mandazi, ni kweli walimu wameniambia kanajimwaga kweli.
Plz najitahidi wanangu wana malezi mema hawajawahi nikera ila wananipiga mzinga sana inafikia mahali nataman niwaambie live sipendi hio tabia ila nafsi inakuwa ngumu plz nipeni ushauri.
Alisema wa kwanza ni wa kike ambaye yupo kidato cha tano......Huyo wa kwanza nini nani vile?me au ke?
mtoto umleavo ndivo akuavo.hili ni tatizo letu wabongo hatuwezi kuwapa watoto wetu fact ya maisha jifunzeni kwa wenzetu jamani wako wazi sana kwa watoto wao.Maana siku umebanwa huna sijui ka kitaeleweka oho we jishaue kwa wanao .Nakasirishwa sana na hawa watoto, wa kwanza yupo form five, wa pili form two na watatu standard seven english medium. Yaani najitahidi sana kuwalipia ada na kweli naweza na nafrahi sababu ni vipanga kila nikangalia matokeo nafurahi sana.
Huyu wa form 5 ni dada ndie anaeongoza chati yani kila siku sababu zisizoisha wa pili ni dume yeye hanaga mambo mengi anataka pesa za kucheza games na mziki mkali akirudi, haka kadogo kakiume kanapenda hela za kula chipsi na mandazi, ni kweli walimu wameniambia kanajimwaga kweli.
Plz najitahidi wanangu wana malezi mema hawajawahi nikera ila wananipiga mzinga sana inafikia mahali nataman niwaambie live sipendi hio tabia ila nafsi inakuwa ngumu plz nipeni ushauri.
Ngabu katika ubora wakoSasa unataka wampige nani mizinga?
Sijui wengine lakini mimi ikija kwa Kisura huwa nafanya kufuru.
Chochote atakacho anapata tu.
Ndo wajibu wangu huo na kamwe siwezi kulalamika.
Na furaha yake ndo faraja yangu.
Hayo sio malezi kama unavyodai. Unawaogopa wanao. Pole sana.Nakasirishwa sana na hawa watoto, wa kwanza yupo form five, wa pili form two na watatu standard seven english medium. Yaani najitahidi sana kuwalipia ada na kweli naweza na nafrahi sababu ni vipanga kila nikangalia matokeo nafurahi sana.
Huyu wa form 5 ni dada ndie anaeongoza chati yani kila siku sababu zisizoisha wa pili ni dume yeye hanaga mambo mengi anataka pesa za kucheza games na mziki mkali akirudi, haka kadogo kakiume kanapenda hela za kula chipsi na mandazi, ni kweli walimu wameniambia kanajimwaga kweli.
Plz najitahidi wanangu wana malezi mema hawajawahi nikera ila wananipiga mzinga sana inafikia mahali nataman niwaambie live sipendi hio tabia ila nafsi inakuwa ngumu plz nipeni ushauri.
Mwambie huyo mkubwa. Ataelewa. Hao wadogo wapige siasa.sina hali yangu inazidi kuwa ngumu inabidi nibane matumizi
Ngabu katika ubora wako
Angalia usijekosa nauli ya kurudi USA baby
Hahaaa umenikumbusha mbali.....Ni sawa kuwahudumia watoto lakini sio sawa kuwaharibu. Wafundishe watoto wako ku-earn anything they desire. Yaani wekeaneni targets (afu hako kadume ka chips unaniogopesha. Kafundishe kula healthy bwana). Hata Kama wanafaulu sana Shule wasukume kuchukua extra lessons ama kufanya kazi za nyumbani Kama kusaidia familia. Waambie anaetaka play station 3 alime bustani, au afanye usafi nyumba nzima, apange kabati lake, or anything. Raising spoiled brats is suicidal