God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
wape watoto watakacho bhana, kwani wao siyo furaha yako?Nakasirishwa sana na hawa watoto, wa kwanza yupo form five, wa pili form two na watatu standard seven english medium.
Yani najitahidi sana kuwalipia ada na kweli naweza na nafrahi sababu ni vipanga kila nikangalia matokeo nafurahi sana.
Huyu wa form 5 ni dada ndie anaeongoza chati yani kila siku sababu zisizoisha wa pili ni dume yeyey hanaga mambo mengi anatapa pesa za kucheza games na mziki mkali akirudi haka kadogo kakiume kanapenda hela za kula chipsi na mandazi ni kweli walimu wameniambia kanajimwaga kweli.
Plz najitahidi wanangu wana malezi mema hawajawahi nikera ila wananipiga mzinga sana inafikia mahali nataman niwaambie live sipendi hio tabia ila nafsi inkua ngumu plz nipeni ushauri.
'Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo'!Nakasirishwa sana na hawa watoto, wa kwanza yupo form five, wa pili form two na watatu standard seven english medium.
Yani najitahidi sana kuwalipia ada na kweli naweza na nafrahi sababu ni vipanga kila nikangalia matokeo nafurahi sana.
Huyu wa form 5 ni dada ndie anaeongoza chati yani kila siku sababu zisizoisha wa pili ni dume yeyey hanaga mambo mengi anatapa pesa za kucheza games na mziki mkali akirudi haka kadogo kakiume kanapenda hela za kula chipsi na mandazi ni kweli walimu wameniambia kanajimwaga kweli.
Plz najitahidi wanangu wana malezi mema hawajawahi nikera ila wananipiga mzinga sana inafikia mahali nataman niwaambie live sipendi hio tabia ila nafsi inkua ngumu plz nipeni ushauri.
nashukuru kwa ushauri wako mzuri.Mtoto akiwa mdogo wapaswa kumjengea hali ya kujua kuwa kuna wakati itambidi akose baadhi ya vitu avihitajivyo na kupata vile vyenye ulazima sana ,hili ufanywa kwa kumnyima mtoto baadhi ya vitu kama ulivyovitaja makusudi..........
hii husaidia pale mzazi akosapo pesa kwa kuwa mtoto tayari ujengwa katika hali ya ustahimilivu...
kama uliikosea tamaduni hii ya toka enzi za mababu zetu bhasi wapaswa uendelee kujiumiza hadi pale watakapoanza kujitegemea maana ukuliona hili na kama utalazimisha kubadilika bhasi tegemea dhoruba kubwa zaidi ya kujiumiza kwako...........
SAMAKI AKIKAUKA HAVUNJIKI BALI HUVUNJIKA ...........
ingawa nimepata mashaka na ukweli wa story yako lakini nimetoa ushauri huu kwa kuwa wazazi wengi wa kisasa hulikosea hili
sina hali yangu inazidi kuwa ngumu inabidi nibane matumiziNi kwamba hutaki kuwapa kwasababu huna au hutaki kuwapa tu?