Uzi wa siku.Kama huko kwenye ndoa na unawatoto wa 20+ inabidi uwe na msimamo. Hapa vijana wa kiume wanaanza kuwa na wivu kama mama anadate mtu ambae si Baba yao.Kama hujatulia unaweza kuchanganya madanga na binti zako.
Kama ulifiwa, uliachwa au ulikuwa single parent. Huu ni muda wa kumrudia Mungu.
Keep your head up, your the anthem [emoji4][emoji120]
Umenena vyema.Kama huko kwenye ndoa na unawatoto wa 20+ inabidi uwe na msimamo. Hapa vijana wa kiume wanaanza kuwa na wivu kama mama anadate mtu ambae si Baba yao.Kama hujatulia unaweza kuchanganya madanga na binti zako.
Kama ulifiwa, uliachwa au ulikuwa single parent. Huu ni muda wa kumrudia Mungu.
' your the only SILVER MEDAL that JF has.' = You're the only........'Concerning woman, your the only SILVER MEDAL that JF has.
Nakupa salut huko huko ulipo, no matter what your google earth coordinates [emoji4]
naomba niamke na uzi wako. Haya mnaomalizia kuwanga rudini kundini tuendelee.Kama huko kwenye ndoa na unawatoto wa 20+ inabidi uwe na msimamo. Hapa vijana wa kiume wanaanza kuwa na wivu kama mama anadate mtu ambae si Baba yao.Kama hujatulia unaweza kuchanganya madanga na binti zako.
Kama ulifiwa, uliachwa au ulikuwa single parent. Huu ni muda wa kumrudia Mungu.