Usimuache mtoto akiwa na nguo ambayo amejikojolea muda mrefu, au kama ukiwa na kawaida ya kumuogesha kwenye beseni usimuache akiwa amekaa kwenye maji muda mrefu kwani anaweza kujikojolea me na ule ule mkojo wao ndio waweza kuwa tatizo, au maji pia yanaweza kuwa na vimelea. Mtoto akijisaidia kwenye pot, lisafishe vizuri.Wadau, naomba mwenye huelewa kuhusu ugonjwa huu wa u.t.i, hasa kwa watoto wadogo ambao hawatumii wala kuchangia choo na watu wazima.
Pia nimeapdate hapo juuAsante mdau
Hii inatokea pale mtoto anapojisaidia haja kubwa ukashindwa kmsafisha vizuri na wale wadudu wa kwenye kinyesi wakihamia kwenye njia ya mkojo wanakuwa na madhara.Kwa hiyo kwa kifupi,vijidudu vya U.T.I vinakaa kwenye kinyesi
Wadudu hawa ni aina ya normal frola ambao huishi katika kinyesi cha binadamu, hawana madhara kwa upande wa tumbo, so endapo mtoto/mtu mzima ata hamisha wadudu kwenda sehemu nyingine kwa mfano rahisi mtoto wa kike hupata kwa haraka sana kutokana na maumbile yao.Kwa hiyo kwa kifupi,vijidudu vya U.T.I vinakaa kwenye kinyesi
Asante mdauWadudu hawa ni aina ya normal frola ambao huishi katika kinyesi cha binadamu, hawana madhara kwa upande wa tumbo, so endapo mtoto/mtu mzima ata hamisha wadudu kwenda sehemu nyingine kwa mfano rahisi mtoto wa kike hupata kwa haraka sana kutokana na maumbile yao.
Kwa hiyo mkuu wapenda 0713 wana hatri ya kuugua UTI?Wadudu hawa ni aina ya normal frola ambao huishi katika kinyesi cha binadamu, hawana madhara kwa upande wa tumbo, so endapo mtoto/mtu mzima ata hamisha wadudu kwenda sehemu nyingine kwa mfano rahisi mtoto wa kike hupata kwa haraka sana kutokana na maumbile yao.
jibu zuri la kuleta ufahamuWadudu hawa ni aina ya normal frola ambao huishi katika kinyesi cha binadamu, hawana madhara kwa upande wa tumbo, so endapo mtoto/mtu mzima ata hamisha wadudu kwenda sehemu nyingine kwa mfano rahisi mtoto wa kike hupata kwa haraka sana kutokana na maumbile yao.
Yes very true. Wanaitwa Escherichia coli wakiwa kwenye utumbo hawana shida ila wakihamia kwenye njia ya mkojo hasahasa akijisaidia au asiposafishwa vizuri wanasababisha UTIKwa hiyo kwa kifupi,vijidudu vya U.T.I vinakaa kwenye kinyesi