Watoto Wachanga 11 wafariki kwa moto Hospitali nchini Senegal

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,614
Watoto 11 wachanga wamefariki katika ajali ya moto katika hospitali katika mji wa Tivaouane nchini Senegal, uliosababishwa na hitilafu ya sakiti ya umeme hospitalini hapo kulingana na uchunguzi wa awali huku mkasa huo ukizua hasira na kutaka uwajibikaji kwa mamlaka husika
-
Janga la Tivaouane linakuja baada ya matukio mengine kadhaa katika vituo vya afya vya umma nchini humo, ambapo
Katika mji wa Linguere mwezi Aprili mwaka jana, hitilafu ya umeme ilisababisha moto katika hospitali moja na watoto wanne wachanga walipoteza maisha
.....

Eleven newborn babies have died in a hospital fire in the Senegalese town of Tivaouane, according to officials, with the tragedy sparking anger and calls for accountability.

“I have just learned with pain and consternation the death of 11 newborn babies in the fire that occurred in the neonatology department of the Mame Abdou Aziz Sy Dabakh hospital in Tivaouane,” President Macky Sall said in a tweet on Thursday, without giving further details about the blaze.

“To their mothers and their families, I express my deepest sympathy,” added Sall, who is on a state visit to Angola.

Abdoulaye Diouf Sarr, Senegal’s health minister, told local media that a short circuit had triggered the fire, according to a preliminary investigation.

“This situation is very unfortunate and extremely painful,” he said on radio, adding that the investigation was continuing.

Sarr, who is in Geneva for the World Health Assembly, said he would cut short the trip and return to Senegal immediately.

Demba Diop Sy, the mayor of Tivaouane, one of Senegal’s holy cities and a transport hub located 120km (74.56 miles) east of the capital, Dakar, said “three babies were saved”.

Source: Al Jazeera
 
Back
Top Bottom