Watoto wa wazaramo hawafanani, utafiti


Watu wengi wanapenda kushinikiza wasikilizaji wao kwa kutumia maneno "Nimefanya utafiti" Lakini kumbe sivyo. Wewe unaongelea utafiti wa nyumba ya wenyeji wako? Au ulichunguza familia ngapi na ulitumia methodology ipi? Yaani, kwa nini tuamini data zako kama ni safi na hazina biases? Hypothesis uliyoipata ni nzuri hapo penye blue. Sasa je, ina maana statement ya tatizo lililojenga "utafiti" wako ni ngoma na mila za desturi? Did you have any objective of your study apriori or come what may? Kwa sababu maelezo yako yanaweza kuwaumiza wanaohusika na "uchunguzi" wako kitu ambacho sidhani ni sawasawa. Labda kama wazaramo ni watani zako ukaamua kuwa-mutilate.

However, umenisaidia kujifikirisha mambo mengi sana ambayo ungeweza kuandikia proposal na kufanya utafiti wa kweli ikaleta maana hata data zako zikasaidia katika maendeleo ya wazaramo hao.
 
mh haya ni mazito, basi ukimaliza huo utafiti tunataka tuuone wote
 
Mkuu Biology ilikupitia mbali nini?
 
Msandawe hio sample ya familia moja haitoshi we kufikia conclusion ya kuweza kusema 'Wazaramu... na sijajua siku hizi ukitaka kwenda Arusha unapitia Tanga.
 
Huo ni utafiti ambao unaendelea, mtafiti anatoa preliminary results na amesema anaelea Tanga na Arusha hivyo hapo hakuna ukabila wala nini. Kama sikuosei purpose ya study yake ni kuona kama watoto zaidi ya mmoja wa wazazi wawili kwa kawaida ufanana na wazazi wao au wao kwa wao ingawaje hajawa specific kwenye variables zake - je kimo, rangi, viungo mbali na vile vya uzazi.
 

Urongo wa kujitafutia umaarufu
 

Rukwa bado sana, pindi nikitoka kigoma nitakula boda la huko. Nataka nifike kipindi cha radi za mchana ili nizishuudie kwa macho yangu. Pamoja na ule uchawi wenu wa mamba, wa nchi kavu niwaone
Haya bwana karibu sana, usisahau kunitafuta nikupe taratibu za kufanya utafiti huku!
 
Tuache hii tabia ya kabila moja kujiona bora kuliko jengine.

Kama Wazaramo wanafanya harusi za ngoma na kuzaa watoto tele, si tuwaachie wenyewe. Why do we have to care?

Uzazi wa mpango muhimu, watoto wapate lishe bora, elimu bora, malazi bora sio kutwa tunasumbuana na mabakuli uzae wewe mm nikusaidie pesa za matunzo wapi na wapi bana
 
Huo sio utafiti, umepita nyumba moja na unasema wazaro watoto wao hafanani, HIYO SAMPLE HAIWAKILISHI POPULATION kwanza hata hujui namna utafiti unavyofanywa,, umelala siku moja kwa wenyeji wako then unaona ndo umefanya utafiti. Fanya utafiti kwenu kwanza ujue kama wazazi wako hawajafanya tendo la ndoa nje ya nyumba yao halafu ulete majibu baada ya hapo nenda kwa kabila lako , then kwa makabila mengine, UNAJIITA GREAT THINK... PUMBA TUPU
 
Kweli Msandawe. Wengi wao hufanana na wapiga ngoma. Wapiga ngoma sehemu nyigi ugoma kuendelea kupiga ngoma mpaka atafutiwe kiburudisho.
 

Mimi nilionyesha madhara ya ngoma zenyewe na sio in relation kwa watoto kufanana au kutokufanana, na picha nilizoweka ni za research ya tofauti za namna ngoma hizi zinavyochangia kurudi nyuma kwa maendeleo ya watu tajwa na eneo husika. Hata JF waliwahi kujadili siku kiongozi wetu alivyocheza watoto wake ngoma rejea https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/22548-jk-amcheza-bintiye-ngoma.html

na comment ya mkuu mmoja hapa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…