hao wanaoponda mwe lol! ila huyu aliyefungwa kwenye meza ili asitoroke ndo kinyume kabisa na haki za watoto. hao wanaopigana wameshiba uji wa shule hao hawana neno.
da ina sikitisha sana sasa sijui sofia simba anafanya kazi gani kama waziri wa watoto huyu mama alaniwe coz hafanyi kazi yake kazi ni kupaka ina na rangi mikononi na miguuni
Mungu ata tuhukumu wote ambao hatutafanya maamuzi ambayo yatawatoa hawa watoto katika haya matatizo na tusipokua makin hawa watoto hawatakuja kutusamehe milele.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.