Watoto wa siku hizi....

tafuna mtoto huyo ila sasa ka hujaoa mzee angalia ndo litakuwa jiko hilo,
NB: awe kisu kweli kwel ndo umugegede.
 
hukumpiga hata picha mkuu tuone alivyo vaa
 
Aiseeee jf shikamoo
 
tafuna mtoto huyo ila sasa ka hujaoa mzee angalia ndo litakuwa jiko hilo,
NB: awe kisu kweli kwel ndo umugegede.
Aisee.....I'm a saint
 
Sasa ndiyo ugundue wao wameumbwa na soni kutongoza kwao ndiyo hivyo. ..

Kinyume chake Wa kiume angebaka au kulazimisha. Kwanini usitafute wa kiume?

Wewe huna kabisa shangazi anayekuja hapo frekwentiliiii
Ndugu siku hizi uki ishi na kijana wa kiume kama msaidizi wa Kazi na huna mke watu wataisi unamfira kwasababu nyote ni jinsia ya kiume
 
Kuweka heshima ni kumgegeda? Hell no...sitembei na watoto. Naweka heshima kwa kutotembea nae.
We nae unaonekana unafurahia michezo yake na inakufurahisha haswa ilameamua kulileta humu ili tujue kwamba kuna katoto kanakupelekesha mperampera mikono juu mwendo wa mateka.maana umeulizwa kuwa umelileta humu ili tukushauri au umegoma haya umeambiwa nini cha kufanya bado unagoma sasa amua mwenyewe hukohuko maana unakafuga mwenyewe utajiju nako hukohuko
 
Kha jaman nimecheka eti ni kakonki
 
Kwani una cheti chake cha clinic? 18-20 ana utoto gani? Hata sheria zinamtambua ni mtu mzima huyo.
Hako ndio kazuri, unakakuza taratiiibu huku mnakula mafao.
Hahahahahahahahahahahahahahaha jf sihami eti una cheti chake cha clinic
 
Ndugu siku hizi uki ishi na kijana wa kiume kama msaidizi wa Kazi na huna mke watu wataisi unamfira kwasababu nyote ni jinsia ya kiume
Kwa kweli dunia imeharibika, siku hizi hata ukienda gesti watu wawili wa jinsia moja hamruhusiwi kupanga chumba kimoja
 
Yani hutu tutoto shidaaaa,ngoja nifungue thread ya kisa nilichonacho.
 
Umri wa 20 hana aibu kukuonesha hizo dalili, aogopi in case ukimwambia mama yake kuwa tabia yake sio nzuri? Mmh!
Hana aibu. Ungemuona jinsi anavyonitazama Machoni ungeshangaa
 
Wewe mhaya au mzaramo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…