Watoto wa siku hizi....

Watoto wa siku hizi....

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,824
Reaction score
129,719
Nilikuwa na msaidizi wa kazi za nyumbani. Kutokana na majukumu mengine ya kifamilia ikamlazimu aache ila akaniletea mdogo wake.

Huyu mtoto ana umri kati ya miaka 18-20. Dah huyu mtoto ananisumbua balaa! Kwanza alikuwa ananiamkia, ghafla ameanza mambo vipi. Mara nikirudi anataka aingie ndani anipikie(huwa anafanyakazi nje sio ndani,basically nyumba iwe na mtu nikitoka)

Sasa amekuwa so aggressive, siku chache zilizopita nimerudi ananilazimisha nitoke nae 'tukatembee' namwambia nimechoka na kazi eti anasema kazini unakaa kwenye kitu tu unachokaje!

Kali kuliko ni juzi jumamosi nimerudi nikamwambia jpili na jtatu nipo kwahio aje jumanne asubuhi. Akaniambia sawa ila jumatatu Eid njoo nikupikie chakula kitamu, nikajibu sawa,sikutaka Stori ndefu! Sasa hivi kaniibukia eti kwanini hukuja mpaka saa hizi basi nimekuja mimi! Nimemwambia nina wageni ameondoka! Alivyovaa sasa Mungu anamuona!
 
Huyo ni mtoto au mkubwa mwenzio anajipendekeza zali la mentali limuangukie?

Ana akili timamu tena pengine ni member wa JF anajua wewe ni senior bachelor.

Hapo pengine ushalishwa na kuwekea vitu vya ajabu kaona havifanyi kazi kaamua kuwa aggressive.

Sijui unasubiri nini kumfukuza na red flags zote umezishaona.
 
Huyo ni mtoto au mkubwa mwenzio anajipendekeza zali la mentali limuangukie?

Ana akili timamu tena pengine ni member wa JF anajua wewe ni senior bachelor.

Hapo pengine ushalishwa na kuwekea vitu vya ajabu kaona havifanyi kazi kaamua kuwa aggressive.

Sijui unasubiri nini kumfukuza na red flags zote umezishaona.
Kwangu ni mtoto. Mengine uliyosema siwezi kujua
 
Sasa ndiyo ugundue wao wameumbwa na soni kutongoza kwao ndiyo hivyo. ..

Kinyume chake Wa kiume angebaka au kulazimisha. Kwanini usitafute wa kiume?

Wewe huna kabisa shangazi anayekuja hapo frekwentiliiii
Hajali....
 
Ok...sasa ni hivi. .
Ungekuwa na mke ungemkanya huyo mtoto akuheshimu kama baba wa familia..

Kwa kuwa huna, me nashauri angalia kama anamvuto, weka heshima,,, shushia na sprite ya baridi....ila chunga..ukimpa mimba ndiyo kashakuwa wife ivoo..
Kuweka heshima ni kumgegeda? Hell no...sitembei na watoto. Naweka heshima kwa kutotembea nae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom