Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,165
Jana mwanangu Mkundee aliniuliza swali la kizushi, Eti baba ukichanganya OMO na FOMA unaweza kupata povu? Nikamjibu, Lazima upate kwa kuwa zote ni sabuni za unga. Kisha nikamwambia, Siku nyingine usiwe unauliza maswali ya kipumbavu. Akaniambia majibu yako ndio ya kipumbavu. Utapataje povu bila kuweka na maji?
Tangu jana bado najiuliza nimekosaje swali kizembe? Sasa namtafutia sababu afanye kosa dogo tu nimchape bakora za maana kwa kunivunjia heshima.
Tangu jana bado najiuliza nimekosaje swali kizembe? Sasa namtafutia sababu afanye kosa dogo tu nimchape bakora za maana kwa kunivunjia heshima.