G
Inawezekana huyu ndiye msomi na greater thinker wa familia. Eti huyu naye ni mme wa mtu. Wanawake mna eneo lenu special Peponi.Hivi unajua kuwa,pengine mimi na wewe,sio watoto wa baba zetu, mama zetu waligongwa nje?
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe umejibu hoja ipi?Sasa hapo umeandika hoja gani? Ptuuuuuuuuuuuuuuu.
Nasafiri sana,na kuongea na watu sana na kusoma vitabu sana tuDalili Za Kukata Tamaa Na Kuwa Pekee Yako Muda Mwingi.
Mkuu Jitahidi Kuchangamana Na Watu Itasaidia.
umeuaSasa kuna ambao sio copyright kivumbi hapo. Unakua ukijua baba ni mzee abdul halafu ukubwani unaambiwa baba ako ni mzee nyange
Shida ni kutoifahamu hoja,lakini hizi ni dalili za ukosefu wa lisheMna msongo wa mawazo sio bure
Sio bure,hizi ni dalili za lishe duniInawezekana huyu ndiye msomi na greater thinker wa familia. Eti huyu naye ni mme wa mtu. Wanawake mna eneo lenu special Peponi.
Haina mashiko kunamda si vyema kuwataja wazazi kina namna hiyo kwasabbu unachoongelea sio kizuri kimaadiliShida ni kutoifahamu hoja,lakini hizi ni dalili za ukosefu wa lishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana,ni wazi ulikulia ugali wa maharage maisha yako yoteEti na anasema ameandika kwa hoja. Aiseeee, Mungu amsaidie.
Pole sana, tatizo umejuwa umalaya wa mama yako Sasa kila ukiangalia michepuko yake kuna mmoja unafanana nae. Acha kumchunguza mama yako.Hivi unajua kuwa,pengine mimi na wewe,sio watoto wa baba zetu, mama zetu waligongwa nje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna hoja ngumu uliyoondika isiyoeleweka hapo,umemvua chupi mzazi wako....muwe na mipakq jamani hata kama mna hiyo demokrasia mnayoisema,hata hao waliowaletea hiiyo demosria hawaitumii hivyosoma hoja vizuri,ndipo nawe utoe mawazo,hata hivyo demokrasia inakupa haki ya kutoa maoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mzazi anajivunia huku kwenu usukumani kuwa anamtoto. Bora mzee angepiga nyeto tu kuliko kuwa na toto la namna hii.ππππππ
Ndio hii sasa. Haoni kama anamdharirisha mama yake.Ukiwa na tabia ya kutoheshimu watu Baki,utamvunjia heshima hata mzazi wako.
Maisha haya. Very funny.
Jamaa amenifurahisha sana, eti wewe ndio msomi na greater thinker wa Ukoo.
Nilitaka nije kwenu Magomeni nikutolee dhamana,nilijua umechokoza watu umeswekwa rumandehatakuja kunisabahi pm hutaki.utakosa bahati