Hahaha...
Mzee Jabir alifanya hivi:
Aliwaongezea ngamia mmoja, jumla wakawa 18.
Then mahesabu yake yakawa hivi:
Arkhad: 1/2 ya ngamia wote=1/2*18=ngamia 9
Khalfan: 1/3 ya ngamia wote (KUMBUKA: sio ngamia walio baki)=1/3*18=ngamia 6
Nadir: 1/9 ya ngamia wote=1/9*18=ngamia 2
Ukijumlisha hapo unapata: 9+6+2=17
Kwa hiyo atabaki yule ngamia mmoja wa mzee Jabir, watamrudishia na wao watakuwa wamegawana kama baba yao alivyowaagizia!!!
Nawasilisha...