Source: Azam news
Watoto mkoani mwanza wilaya ya nyamongo wameingiwa na kapepo kakufumuana marinda cha kusikitisha ni kuwa hawa watoto ni umri wa miaka 12 - 22 ambao ni umri wa shule.
Pia geto lao ni kwenye mapango jirani na yale mawe ya mwanza ndo chumba chao.
Ushauri: mchunge watoto wenu.
Kachanganya madesa ni Igoma Mwanza.Mwanza kuna Wilaya inaitwa Nyamongo? Imeanzishwa lini? Au kwa vile miezi 6 nilikuwa nje ya nchi?
Dah sijajua kuwa wanakuwa na mihemko gani hadi wapandane wao kwa wao.Inasikitisha mnooo watoto wadogo jamani wengine wameanza kuanzia miaka 5 akijua anaenda kulawitiana na mdogo wake anayelala nae
Aiseeee... imani hizi " ukifikaga mwezi mtukufu sihuwaga mnasema kuwa shetani anafungwa minyorolo" sasa hao Watoto nao vipi " au shetani wao " ametoroka"""?
Msemo wa Mungu sio athumani una fumbo kubwa sana. Hao wakina athumani wako rejected.Aiseeee... imani hizi " ukifikaga mwezi mtukufu sihuwaga mnasema kuwa shetani anafungwa minyorolo" sasa hao Watoto nao vipi " au shetani wao " ametoroka"""?