Watoto wa miaka ya 2000 hamtaelewa

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Halafu ukute la style jeans ...Mimi suruali alikuwa sipendi tangu mdogo ni mwendo wa kadeti za kombati na jeans
 
Lux ya hiyo suruali unaweza mtu ukatoa tai popo kabisa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
siku izi ni mwendo wa Gucci, Nike, puma na viatu flani hivi naona vijana wanavaa vikubwa kuliko miili yao πŸ˜…
Weeeee usntanie, skuizi namodoa nakula vuchupa plas staravo, sckachers, nike, all-star....🀣
Hadi waifu ananiambia eti najitotosha...😜
 
Weeeee usntanie, skuizi namodoa nakula vuvupa plas staravo, sckachers, nike, all-star....🀣
Hadi waifu ananiambia eti najitotosha...😜
🀣🀣 ujana una raha na tabu zake. Naona unaufukuzilia mbali uzee
 
Umenikumbusha miaka ile nilikuwa na masuruali yangu mawili yale nikiyakumbukaga nacheka mwenyewe yani suruali nilivyokuwa nafua kulianika linachukua nafasi ya masuruali matatu ya sasa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kitambaa kisibaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…