kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,685
Naamini wengi waliocoment hapa siyo wazazi,
ili kuweza kumtunza huyo mtoto mzaziinahitajika afanye bidii katika kazi yake,
vipi kama kazi zinamfanya ashindwe kuwa na mtoto kwa muda mrefu?
Atamwachia msichana wa kazi?
Wasichana wenyewe ndo hawa!!
Kwangu heri aende huko boarding kuliko nimuweke mtoto kwa ndugu ama kumwacha na msichana wa kazi.
....si sababu!
"kumbuka kulea mimba si kazi' kazi ni kulea mwana".
...mnao wapelekea wawalelee, hawajui kulea! Na watoto walio wengi mnao wapeleka kwenye hizo shule wanakuwa bado kujitambua:
"Matron wenyewe 'walio wengi' hawajawahi kuwa na mtoto! kazi ni kuelekeza watoto wakubwa kutawaza wadogo zao, wao kwa wao"