Mie niko tofauti kidogo na wengine waliokuja speed, kwanza nahisi Nina shida ya kusoma neno halafu akili inasoma au inatafsiri kingine. Mie niliona kichwa cha habari kinasomeka hivi.... "Watoto wa Mjini" hivo nilivoona picha nikajua mshana ameenda Zanzibar hapo forodhani mida ya jioni akiwa anapata futari ndo akaona hao vijana wakijirusha aka diving. Baada ya kusoma majibu ya watu wengine ndo nikajua uliandika watoto wa majini.... hehehee umewapata.
Huo mchezo wanaofanya hao vijana ni hatari sana na kuna wanaokufa kwa kufikia mgongo au kichwa kwenye jiwe kubwa. Ila ndo hawasikii na hawaachi. Mie hunishawishi kuruka hapo na uzee wangu maana ntakuwa nakomiti suisaidi....
Good afternoon
mshana jr