Watoto wa majini

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] utawashika sana[emoji14]
 
Kweli hao ni watoto wa majini..............
 
Nimekuja mbio nikajisemea moyoni: "wacha leo nikaone watoto wa jini Mahaba, Maimuma, Makata na wengineo"
hahahahaha
 
Nikiwa mdogo mbunge wetu alikuwa ni Naibu Waziri wa Maji, Nishati na Madini, basi mimi nikawa najua kwenye nishati ni haya mashati tunayovaa, na madini ni makanisa eti.

Ha ha ha, mshana jr umenikumbusha mbali sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…