escrowaccount
Member
- Jan 16, 2015
- 98
- 22
Nimejifunza...kuwa
-Wewe ni mbaguzi na mkabila
-Wewe ni handsome boy unagonda wadada
-Unageneralise issue based on 1 reference.
-Wewe ni wale wasiohonga wanawake
-Hujaona dunia au inexperienced na maisha
na ww pia umefanya generalization...
Ahaa now we are talking, usifanye judgement kwasababu ya mchaga mmoja wa kutoka family ya kishuaaa
ni kweli mm nina experience na mchaga mmoja ila kila mwanaume anakuambia wachaga sio.....hata hapa jf kuna threads kibao sina sema ivo
Nahisi mada yako imejaa harufu ya kujifagilia tu! Utafiti Wako umeufanya kwa wanawake wangapi?
Asilimia ngapi ya WaTZ ambao ni member wa JF...mkuu chukua akili za kuambia na changanya na zako utapata jibu.
Hakuna ubaguzi mbaya kama wa dini na kabila.
Mama yangu alishaniambia niangaike lakini nisimletee mwanamke Wa kichaga au mnyakyusa.
Mkuu unachosema ni kweli ukipendwa na maskini chunguza Mara mbilimbili.
Chaga chaga chaga mabinti wazuri lkn mmh ni shydaaah.
Ola ww mjamaa Muongo mada yako haina ukweli mwanamke yoyote akikupenda kikweli ujue kapenda haijalishi level yake
ina maana mm ndio wa kwanza kusikia akisema mademu wa kichaga wako hivo?? ok sitaki kubishana.
na sio kuwa najifagilia ila kusema kweli wanawake wananiganda hadi nawakimbia........leo peke yake tu kuna mabinti watatu wanaomba out na mm, tena wanalalamika nawatenga.....
and this is the truth frm ma heart