Uwiii, uwiii, uwiiii jamani hata sijui niseme nini?
^^
Mwanzoni mwa juma hili,nilitembelea shule moja ya wasichana nikiwa na shida ndogo ya kiofisi hapo.
Jina la shule naomba nilihifadhi sina taaluma ya uandishi wa habari,nisikiuke misingi yake.
...
Nilipofika ofisini nilikaribishwa staff ya walimu,nikaambiwa nisubiri.Hapo ndipo niliduwaa kumuona mwalimu mmoja wa kike akiingia ofisini na mtoto wa kike,kidato cha tatu huku akiandamwa na fimbo za mgongoni.
...
Tatizo lilikuwa kwamba,,yule binti alikuwa amekamatwa jumapili yake(siku iyo ilikuwa jumatatu)
Akiwa amelala na wanaume wawili wakati wenzake wameruhusiwa kwenda nyumba ya ibaada.Shule yenyewe ina taratibu ya kuwaruhusu wanafunzi kuhudhuria ibaada nje ya shule ambapo ni mwendo wa dk 25 ivi kwa miguu.
...
Mwanafunzi huyu alikiri kulala na wanaume hao wawili na alipoulizwa aliwafaham vipi,alisema alitumia simu ambayo pamoja na shule kuzuia bado aliiweka kwenye taiti,,ikiwa na vibration.Aliweka wazi kuwa matroni hata akague vipi hawezi kuwakamata wote maana wanafunzi wengi wana simu.
...
Alipoulizwa anapaje ujasiri wa kulala na wanaume wawili,huku akilia anasema alikubaliana na mmoja,akaongezeka wa pili,,hivyo asingeweza kuwazuia.
...
Tukio hili ambalo bado linaendelea kuchukuliwa hatua stahiki ikiwemo wahusika kutafutwa,,lilinifanya niondoke na maswali mengi kichwani.Je tuwafiche wapi? Je malezi gani tuyatumie? Je wazazi walio nyumbani wanajua watoto wao wanamiliki simu? Je imefika mahali,somo la Mahusiano Urafiki Mawasiliano na Mapenzi liwekwe shuleni? Je hawa ndo wake wema na waume wema wa kesho?
Iliniuma,,jamani tusitafute wa kulaumu bali nini kinaweza kuleta usalama.

Hapa ndio tunakosea.
Nimeshuhudia nchi zilizoendelea wazazi kuwa karibu sana na watoto wao wkat kwetu sio rahisi sana kwa mtoto kuwa rafiki wa mzazi. Hii inatoa gap kubwa sana kwa mtoto, imagine mama anakuwa rafiki wa mtoto wa kike mpk hata boyfrend wa mtoto anaweza ongea na mama(????)
Nachoweza summarise ninkuwa tamaduni zetu bado zinaweza kuwa zinafanya haya yatokee. Let me be honest, huku ulaya mtoto kuwa na b/friend sio dhambi, ili mradi afikishe umri (16-18) so anakuwa very open na hao wanakuwa officially known. Naona inazuia pia mtu kuwa na wavulana ama wasichana wengi(vile iko wazi so ni ngumu).
Kwetu hilo suala ni dhambi na hata watoto wanajua..mama au mwal akijua ni balaa. Kinachofuata ni kufanya kwa siri na ndio kisa cha mtu kuwa na mademu 6, au wavulana wa5 kwa vile ni siri.
Niishie hapo
Mbona haya yapo miaka mingi sana sema siku hizi wanafanya kiwazi zaidi au wanapotoshwa na ya duniani yanavyoanikwa zaidi na technology kukua.
Mie nakumbuka maneno mzazi wangu alikua akisema kama vile utani katika kutushauri na nashukuru Mungu hata alivyokua akiimba kama mwimbo kutufunza na kutuambia mkiwa hivi mbeleni hivi... Yalikaa kichwani hadi leo, na nilijiheshimu maisha nilikula kama kawa kwenda disco, kuangalia sat tv etc kuwa na marafiki wa kiume tulikubaliwa hata kuja kututembelea home. Ila nakumbuka wale waliokuwa wakigombezwaaaa weeeee walikuwa kama wamefunguliwa wakipata nafasi.
Sasa nasikia raha sikuwa na ya kujutia na tumeolewa na tunalea familia zetu. Naomba Mungu nami niwafunze wanangu kihivyo na zaidi kutokana na maisha ya siku hizi na mitandao etc.
So wazazi tunamajukumu, Mungu amebariki kuwa na watoto malezi ni kazi ya wazazi na sio kuwaachia kutowashauri eti Mungu yupo nao.