Watoto wa kike na kukumbuka kwao

Ya wazazi wangu hyo hapo npo mbion kuimaliziaa wakaee kwa raha zao
IMG_20171119_161602_520.JPG
 
Ukizaa mwanaume umezalia wazazi wa mwenzioo
Yani afuu hata wazazi wanajua.. Me maza huwa anasema hutanisahau kweli wew ukitoka.. Kiutani ila najua anamaanisha na anajua watoto wa kiume tulivyo
 
Masogange a

Masogange ameacha alama ya kudumu kwa familia na jumuiya inayomzunguka, kama alitambua wajibu wake atakuwa ameacha pengo kubwa huko.
Nilikuwa namuona kama Dada asiye na makuu, Pumzika kwa amani Dada Agnes Gerald.
Hakikaa...!! Nlikuwa nampenda sanaa alikuwa hana drama kabisa
 
Hongera kwa kila aliyewajengea wazazi, mimi niko shambani ila msimu huu nikiuza tu mzigo naenda kumjengea mamangu.
 
Watoto wa kike tuliumbiwa upendo wa dhati.

hiyo nyumba kaijenga kwa pesa za kuhongwa, huyo masogange akiuza tigo yake kwa watu 10 kwa laki 2 per head, atleast ana million 2 yake hapo, hujahesabu wale wanaume wanaohonga kwa kutafta sifa k.v million 1 etc espy
 
Sisi wanaume tunajisahau sana tunapo fanikiwa hasa kuwasaidia wazazi wetu,pesa zetu nyingi tunazitumia kwenye mambo yasiyo na faida endelevu
 
hiyo nyumba kaijenga kwa pesa za kuhongwa, huyo masogange akiuza tigo yake kwa watu 10 kwa laki 2 per head, atleast ana million 2 yake hapo, hujahesabu wale wanaume wanaohonga kwa kutafta sifa k.v million 1 etc espy
Hapa mada ni kwamba watoto wa kike tunakumbuka sana nyumbani.
 
Sawa mkuu lakini Kweli Hizo chenji unazompa wew ndo ajikusanye ajengee kwao wew kwenu hali mbayaa..!??
Inategemea na kipato, me nachosema majukum ya mwanaume katika maisha ni huwez linganisha na mke. Yeye hata asipodonate kwenye familia yake, maisha yataendelea. Lakini mwanaume watoto wakilala njaa hutaeleweka..
 
Kwa nini u-pay bills bar wakati nyumba ya wazazi wako inaanguka kijijini?
Kwa hiyo ukitoka na mkeo au familia yako utategemea wallet ya mwanamke? Sio kwa hawa black women, mizigo isingetuelemea tusingeshindwa kufanya hayo kwetu. Nazungumzia kwa sie wenye vipato vya kawaida...
 
Hivi mbona huwa mnajifanya kama vile wake zenu hawana mchango wowote katika maiaha yenu ilihali familia nyingi akinamama ndio wanafanya zisonge!!!!
 
Back
Top Bottom