Watoto wa kike na kukumbuka kwao

Watoto wa kike na kukumbuka kwao

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,164
Reaction score
43,858
Aisee nimeona picha ya kwa kina Agness Masogange, kuna nyumba flani ya kisasa ambayo Baba ake anadai Masogange alimjengea. Daah hapo ndo nikabaki najiuliza mbona kuna wanaume wengi maarufu walifariki lakini waliacha mazingira ya kwao ya ovyo sanaa..!! Au ndo kweli kuwa mtoto wa kike hujali na kuthamini sana kwao akifanikiwa???

Yaani video vixen kamfanyia mambo makubwa kama yale Baba ake lakini Wanaume sasa! Sitaki kuwazungumzia vibaya Marehemu wapumzike kwa amani ilaa hili limenionesha kitu. Wanaume tusijisahau tukiwa maarufu mjini hapa tukatelekeza kwetu.

R.I.P Masogange.

tapatalk_1524373921769.jpeg
 
Masogange a
Niliona kwa kina ivan don nilishangaa sana

Masogange ameacha alama ya kudumu kwa familia na jumuiya inayomzunguka, kama alitambua wajibu wake atakuwa ameacha pengo kubwa huko.
Nilikuwa namuona kama Dada asiye na makuu, Pumzika kwa amani Dada Agnes Gerald.
 
Mpka hapo hela ya mwanaume ndo imejenge huo mjengo kupitia maswagange sasa jiulize huyo aloijenga hyo nyumba atanjenga lini kwao wakati hela imeishia kujenga hiyo nyumba NADHANI UMENIELEWA
 
Mwanaume anachofocus ni kujiimarisha kimaisha kwanza, kwa kuwa hana option nyingine ya kujijenga tofauti na nguvu zake binafsi.
Tofauti na mwanamke anaweza kutumia pesa yake plus pesa ya mume au danga wake kujenga kwao. Huku jukumu la kujenga kwake akimtupia mumewe.

Mahitaji yote ya familia, watoto including na huyo mwanamke unaemsifia, kwa asilimia zaidi ya 100 ana play part mwanaume. Hebu mtupunguzie lawama. Nenda viwanja vingi, who are paying bills, utanielewa zaidi. Wakati huo huo change inayobaki mke anatuma kwao..

Kwa hiyo kabla hujamimina sifa kwa ladies tambua kuna support ya men nyuma yao. Ni wachache sana wanaojikamua wenyewe.
Hivyo ni rare cases sana kukuta mwanamke anatoil kujenga kwake, yeye ni kwao tu.
Probably huhofia kubreak up, so wanaandaa pa kujistiri mapema. Ni mtazamo tu, neno langu si sheria...
 
kabisa tunajua kuhongaa tuu
 
Sawa mkuu lakini Kweli Hizo chenji unazompa wew ndo ajikusanye ajengee kwao wew kwenu hali mbayaa..!??
 
Mwanaume anachofocus ni kujiimarisha kimaisha kwanza, kwa kuwa hana option nyingine ya kujijenga tofauti na nguvu zake binafsi.
Tofauti na mwanamke anaweza kutumia pesa yake plus pesa ya mume au danga wake kujenga kwao. Huku jukumu la kujenga kwake akimtupia mumewe.

Mahitaji yote ya familia, watoto including na huyo mwanamke unaemsifia, kwa asilimia zaidi ya 100 ana play part mwanaume. Hebu mtupunguzie lawama. Nenda viwanja vingi, who are paying bills, utanielewa zaidi. Wakati huo huo change inayobaki mke anatuma kwao..

Kwa hiyo kabla hujamimina sifa kwa ladies tambua kuna support ya men nyuma yao. Ni wachache sana wanaojikamua wenyewe.
Hivyo ni rare cases sana kukuta mwanamke anatoil kujenga kwake, yeye ni kwao tu.
Probably huhofia kubreak up, so wanaandaa pa kujistiri mapema. Ni mtazamo tu, neno langu si sheria...
Kwa nini u-pay bills bar wakati nyumba ya wazazi wako inaanguka kijijini?
 
Mola wangu waongoze vijana wetu milele yote!
 
Back
Top Bottom