Watoto wa Kike Bwana....!!!

HILO NI LICHIZI PASEE. ..HOVYO KABISA. .
 
Hahaha bwana kaka kivipi, huyo ni mzuka wake binafsi unamsumbua
 
Inasemekana alimaliza kabisa!!! Ila ndo tulipofikia hapo...tegemea chochote kutoka kwa mwanadamu!!!
Katika hali aliyonayo huyo binti hapo ingekuwa vigumu sana kutokuzimaliza!
 
Asilaumiwe sana kwasababu kwa iman yakawaida hatanguo zinaonyesha yeye ninani+vitendo vyake
 
Nawaza tu huyo aliyempiga hiyo picture atakua nani? Kwanini alimkalia hivyo wakati anampiga hiyo picha?Je kama ni boss wake, tunapata picha gani?
 
Assume ni mkeo mkuu...juzi tu ndo mmefunga ndoa.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…