tatizo kuna watu wanawapa sifa zisizo zao..ila kwa wewe uliyetaka kuwafahamu nadhan utayazingatia maneno..ni wachapa kazi na wanajua maana ya mume,ni wapole na wanajiheshmu na kuheshimu wengne,ulevi,umalaya si tabia yao.nb usije ukaopoa mzambia akasema ni mfipa kisa anaongea kifipa au umemkuta ufipani..ukamlinganisha na mfipa real.