kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,259
- 17,560
Watoto Wa nyoka ni nyoka, ni kawaida kwa watoto Wa wachezaji kupenda kufuata nyayo za wazazi Wao lakini jina la gwiji la zamani la mpira Wa miguu Wa timu ya simba, majimaji na taifa King Kibadeni linaendelea kukosa mrithi kwenye tasnia ya mpira Wa miguu nchini kwa nini? Je, Kibadeni ana watoto ambao wanafanya nini kimaisha?