Watoto wa Kagame

Watoto wa Kagame

Bado sijaelewa. mnamaanisha watoto wa PK wa kuwazaa au wa nchini mwake?
 
Yaani nilitaka kwenda kuchumbia kijijini ila kwa picha hii nishamwona wa kuchumbia tayari hongera mwananchi kwa kuiweka hii picha ya TOTOZ.(za kagame tupa kule!!delete kabisa)
 
mkuu nyine ndio wale , mnatekenywa kidogo tu, mnaanza kutiririka hata ya uvunguni mwa kumoyo, kuwa makini, hizi nazo ni silaha za kivita tena hatari sana kuliko hata mabomu ya nyuklia, maana zinakuharibu huku unachekelea
 
WaBongo Tutauza nchi, na kuipoteza Tanzania !! Tukiendekeza kufuata vyambo HIVYO (mitego hiyo) kweli sura zinavutia LAKINI malengo yao hatujui !! Usiache mbachao kwa msala upitao!
 
Hiyo mitego watuwezi hata sisi tunao wazuri kuliko hizo sura za Kihabeshi wenye njaa. Ebu shuudia mkulu wa Monduli hapa anavyotoa jicho

WaBongo Tutauza nchi, na kuipoteza Tanzania !! Tukiendekeza kufuata vyambo HIVYO (mitego hiyo) kweli sura zinavutia LAKINI malengo yao hatujui !! Usiache mbachao kwa msala upitao!
 
Umiss world mbona huwa hawashindi?
 
Mmeona tukiwahona hao watoto wake tutawahurumia, hakuna hata sisi tunawatoto poa zaidi ya hao.

mhhh jipemi moyo tu..yaani hapa uweke watoto wa wassira watafanana na hawa kweli au unajipa moyo tu....
 
mhhh jipemi moyo tu..yaani hapa uweke watoto wa wassira watafanana na hawa kweli au unajipa moyo tu....

si umeona watoto hao wakiwa na mkuu lowasa kuna jingine tena.
 
Nin Tsuti sexual diplomacy

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hao tofauti na roho zao kama unashawishika na sura za hawa ujue maut ipo karibu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom