Watoto wa geti na wauswazi

Watoto wa geti na wauswazi

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
715
Reaction score
682
Tofauti ya watoto wa geti na wa kiswazi hii hapa:

wageti: akijikwaa utamsikia anasema ohh my god/ ohh jesus christ

wakiswazi: akijikwaa utamsikia akisema kumamake sijui k_ m_ gani kanitaja!
 
Hiyo zamani bana siyo sasa hivi tv hadi chooni tamthilia aziishi ni vigumu kumtofautisha mtoto wa Haile selasi au Kaunda au Chole na mtoto wa mbavu za umbwa ama mikoroshini temeke. Ngoma droo.
 
Back
Top Bottom