Watoto wa siku hizi tofauti na sisi tulivyokua zamani..!
Msikie huyu,
"Mtoto alikuwa anapata shida kuomba dua kila mda wa kulala, sababu dua ilikuwa ndefu sana.
Akaona aandike dua yote akaibandika ukutani, ikawa ikifika muda wa kulala anasema;
"Ee MUNGU SOMA PALE."
Amina.