Nimesoma thread ya Mwendapole https://www.jamiiforums.com/mahusia...hi-kitu-kinaweza-kutokea-soma-kisha-hiki.html nikaona tuzungumze jambo hili. Nitaanza na mfano wangu mwenyewe.
Uhusiano wangu na wife uliharibika wakati fulani alipotoka nje ya ndoa. Sikumfukuza na yupo hadi leo. Namshukuru Mungu majibu yangu yapo gado sijapata maambukiizi. Pamoja na kwamba nikikumbuka roho huniuma sana lakini mimi napenda watoto, na ndio hedge iliyofanya ndoa yetu isisambaratike wakati ule japo baadae inaweza kuishia kwenye rocks. You never know with women.
Sasa tatizo langu jpya ni hili. Mimi nataka wife azae mtoto mwingine .Yeye anapiga chenga na nahisi ametumia njia ya uzazi wa mpango bila mie kujua . Muda umepita na nisingependa kuwa na kitoto kichanga wakati nimeshakuwa too old for that.
What do I do now? Should I get a nyumba ndogo for that reason . should I revive my anger , and get her out of face for good ? should I keep calm as I did before?
Mchangiaji anaweza kusema hatujazungumza . Mind you tumezungumza sana naye hakatai wala hakubali. Na time inakwenda. Tuchangie tafadhali.
Wanaume wengine mlipaswa kuzaliwa tumbo moja na Yesu. Yani mkeo anatoka nje ya ndoa, halafu unaendelea naye. Grrrrrrrr. Sina ushauri, manake hauna test yangu kabisa.
Haa we Chrispin ni mara ngapi wewe umetoka nje ya ndoa na mkeo akajua na akakusamehe? Kwa nini kosa anapofanya mwanamke ndo linakuwa kosa ila akifanya mwanaume sio kosa?
Binafsi nampongeza sana huyo jamaa kwa kuwa mvumilivu na kuendelea kuishi na mke wake.
Nimesoma thread ya Mwendapole https://www.jamiiforums.com/mahusia...hi-kitu-kinaweza-kutokea-soma-kisha-hiki.html nikaona tuzungumze jambo hili. Nitaanza na mfano wangu mwenyewe.
Uhusiano wangu na wife uliharibika wakati fulani alipotoka nje ya ndoa. Sikumfukuza na yupo hadi leo. Namshukuru Mungu majibu yangu yapo gado sijapata maambukiizi. Pamoja na kwamba nikikumbuka roho huniuma sana lakini mimi napenda watoto, na ndio hedge iliyofanya ndoa yetu isisambaratike wakati ule japo baadae inaweza kuishia kwenye rocks. You never know with women.
Sasa tatizo langu jpya ni hili. Mimi nataka wife azae mtoto mwingine .Yeye anapiga chenga na nahisi ametumia njia ya uzazi wa mpango bila mie kujua . Muda umepita na nisingependa kuwa na kitoto kichanga wakati nimeshakuwa too old for that.
What do I do now? Should I get a nyumba ndogo for that reason . should I revive my anger , and get her out of face for good ? should I keep calm as I did before?
Mchangiaji anaweza kusema hatujazungumza . Mind you tumezungumza sana naye hakatai wala hakubali. Na time inakwenda. Tuchangie tafadhali.
We mdanganye mwenzio aendelee kumegewa ye avumilie tu. Mi sijawahi kufumaniwa. Nikitoka nje natoka kwa mahesabu makali, mke wangu asijue. Akijua, ana kila sababu ya kunipiga kibuti. Naye atoke, lakini nikijua, hamna cha mswalie mtume wala nini.
Lakini Msindima, mwanaume kutoka nje ya ndoa ni jadi yao. Thats why mnaturuhusu tuoe wake zaidi ya mmoja. Ulishawahi kuona mwanamke anaolewa na wanaume wawili.
Hata wanyama wanaitekeleza hii jadi. Angalia, mafahari wawili hawakai zizi moja. Au mtaani kwenu hamna jogoo? Angalia, mtaa mzima anamiliki jogoo mmoja na mitetea waaaala haina wivu. We were not made for one woman jamani. but woman was made for one man!
ungekuwa unanieezea face 2 face ningekuchapa kofi..........

Yule mke ni Dizaini ya Asha ngedere,sasa subiri Kipondo badae.Huwezi jua na yeye yupo humuhumu JF.
Na kweli, isije ikawa ni wewe manake watu hawatumii majina yao halisi humu ndani isipokuwa mimi tu.
Data na vidhibiti vinakusanywa ,siku ikifika ,nakuonea huruma.
tafuta kabinti kadogo ka nje nawe ujinafasi mbona unabaniwa kiivo? ila kasiwe kabinti ka mizinga............
Jamani what kind of ushauri is this?
Wanaume wengine mlipaswa kuzaliwa tumbo moja na Yesu. Yani mkeo anatoka nje ya ndoa, halafu unaendelea naye. Grrrrrrrr. Sina ushauri, manake hauna test yangu kabisa.
Inawezekana kufanya unavyofikiria wewe, nami pia ningeweza. Ni kweli sina test yako ila omba Mungu yasikukute in my style. Kufukuza na kubaki ndizo only choice . You sometimes opt for the worse choice inorder to rescue what may become another catasrophy . It's me anyway.
BabuYao ni kweli ni msiri . Inawezekana ana mpango wa kummegea tena jamaa lakini amekuwa so low and looks like she is regretting for what she did japo muda mrefu kidogo umeshapita. Nahisi anaogopa naweza kuja kurevenge baade .
Watu wengine wanaopt for nyumba ndogo. It sounds very very reasonable for an ordinary man and for a case like this. Anyway , If worse comes to worse I may opt for A worse solution as well.
REMEMBER THIS IS A TRUE STORY. IT MIGHT HAPPEN TO YOU ANYTIME ANY DAY AS LONG AS YOU ARE A MARRIED.

Kazi kweli!