watoto hawadanganyiki.

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
354
Reaction score
52
Wakiwa ndani ya kanisa mtoto alimuambia mamake,mama nataka kukojoa..mama akamjibu hio sio njia nzuri ya kusema.wakati mwingine ukiwa ndani ya kanisa na unaskia kukojoa sema unataka kuninong'onozea.
Jpili ilofuata mtoto akiwa ndani ya kanisa akiwa na babake akajiskia kwenda kukojoa hivyo akamuambia babake,baba nataka kukunong'onozea..baba akamjibu,si uninong'onozee sikioni..tafakari kilichofuata.
 
teh teh teh aliloanishwa sikio
 

Alimkojolea masikioni.
 
Sikio lilisafishwa hapo teh teh.....mjini shule!
 
Watoto wanafuata na kutenda wanalofundishwa na wakubwa zao. Kama alimnongoneza baba hakukosea kabisa!
 
Maskini yule mama angekuwa muislam talaka 3 fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…