Watoto hawa wanatosha

Watoto hawa wanatosha

kanewi

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
298
Reaction score
204
kuna misemo ya wanandoa mingi sana''tumesha pata watoto wetu wawili basi tunafunga hatuzai tena''msemo kama huu ningeshauri uwe wenu wawili tu msijaribu kumuambia mtu mwingine nje kwani madhara yake makubwa sana,.leo mnasema wawili tu basi mara baada ya miaka miwili kitu hicho watu watauliza si mlisema kwamba mmefunga?mtawajibu''baati mbaya'',jibu hili na mipango yenu inakuja kuleta madhara kwa mtoto aliepatikana,akijua kuwa yeye alikuja kwa bahati mbaya atajisikia vibaya sana yeye kuzaliwa kwa bahati mbaya kwamba hakuwa kwenye badgeti ya kuja duniani na kuwa mmoja wa wanafamilia na mbaya mkiwa na maisha magumu atajisikia kwamba ugumu wa maisha umesababishwa na yeye aliekuja kwa bahati mbaya na kutibua mipangilio mliyojiwekea ya kuwa na watoto wawili/watau au wanne.,kwamba mngemuua kwa kuitoa mimba,anaweza kuja kuhisi kwamba mlipo jua kwamba wife anamimba mlipata kujadili kumuua tumboni na kumtupa chooni,.mwisho wa siku watoto hawa wanakuja kuathirika kisaikolojia na kuwa wakatili sana ambao kwao kuua kinakua kitu cha kawaida kama wao wamenusurika kuuawa.,''WATOTO HAWA WANATOSHA-ASIAMBIWE MTU IWE SIRI YENU WAWILI TU.USHAURI TU KWA WANANDOA.''
 
hapo umenena, nimeshwahi kusikia mtu anaisema kuwa tena aliambiwa na binamu zake walioambiwa na wazazi wao. ilimuuma sana kujua kitu hiki. Bora hata kama ni mzazi basi uisumulie kwa wanao kama story uirembe ionekane vizuri, hata mtoto akija kusikia inakuwa sio kitu kipya na maneno ya ziada ya ukweli ulikuwaje anaishia kutosumbuliwa nayo sana as unaweza kueleza akiuliza utakavyo.
 
Back
Top Bottom