DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,049
- 30,954
AiseeeeeKuna maisha baada ya maigizo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo lao ni kwamba hata ukiwatoa out bado watakula kwa pozi wanaonjaonja tu na kuacha wakijifanya wamekinai kana kwamba hizo burger na sijui pizza wanakula kila siku.. Ila wakirudi makwao ndo kama hivyo kufakamia viporo vya maharage na ugali..Sasa wewe ulitaka uwatoe out halafu watake matunda hayohayo wanayoshindia nyumbani? Hata mtu ukialikwa tu chakula mahali huwezi kufakamia chakula ambacho unakula siku zote nyumbani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha ya mitandaoni yatatutoa roho jamani khaa[emoji30]
Kwa hasira ningeenda kuwatafuna woteKuna dem mmoja nilienda kumtembelea. Chakula walichokuwa wanapika pale ilikuwa ugali dagaa na mboga za majani. Si nikarogwa nikamtoa out! Kwanza alichonifanyia ni kunijia na rundo la marafiki. Misosi na vinywaji walivyokuwa wanaagiza! Nilikuwa nimechukua SACCOSS mkopo wa sh laki tano and half of it was slashed in a single night!
ndio.% kubwa ya wasichana Wa mjini . wanaishi maisha ya kuigiza,ila nyumbani huwa ndo kama hao.Aiseeeee
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]wanafakamia maembe kama ngedere
Hahahaaa!!! Jf inafurahisha sana
Pole kubwa waite tena nikiwepo kisha mengine yote niachieKuna dem mmoja nilienda kumtembelea. Chakula walichokuwa wanapika pale ilikuwa ugali dagaa na mboga za majani. Si nikarogwa nikamtoa out! Kwanza alichonifanyia ni kunijia na rundo la marafiki. Misosi na vinywaji walivyokuwa wanaagiza! Nilikuwa nimechukua SACCOSS mkopo wa sh laki tano and half of it was slashed in a single night!
Wapo....wanafakamia maembe kama ngedere
tena kwa maji ya kudibuaWakibadili sana wanakula mihogo ya kuchemsha au kukaanga.
Pole mkuuKuna dem mmoja nilienda kumtembelea. Chakula walichokuwa wanapika pale ilikuwa ugali dagaa na mboga za majani. Si nikarogwa nikamtoa out! Kwanza alichonifanyia ni kunijia na rundo la marafiki. Misosi na vinywaji walivyokuwa wanaagiza! Nilikuwa nimechukua SACCOSS mkopo wa sh laki tano and half of it was slashed in a single night!